Luxury Senori Collection–New Drop
TZS 70,000
LUXURY SENORI COLLECTION – NEW DROP Ukiivaa hii, unabadilika instantly kuwa “lady wa kiwango kingine” Material: Senori ya hali ya juu (premium finish) Size: 46–54 (inafit vizuri na kustarehesha mwili) Bei: 70,000/= tu Mwangaza wake ni wa kifahari Inakupa mwonekano wa elegant na confident Inafaa sherehe, kazi, au outing yoyote ya kisasa Hii si gauni ya kawaida... ni “statement piece” Weka yako kabla haijaisha kabisa!
Nguo · new · Dar es Salaam / ILALA /
Muuzaji: USHINDI ADRIAN · ⭐ 0.0 (0)