Drip Filter
TZS 50,000
Filter zinatofautiana size kulingana na Inche zake Kuna robo tatu mpaka Inche Tano ni nzuri kwa umwagiliaji wa kisasa kwa sababu huchuja na kuzuia uchafu na takataka zote zinasababisha kuziba kwa drip lines kwenye shughuli za kilimo na greenhouse na nursery.
Kilimo · new · Dar es Salaam / kinondoni /
Muuzaji: Irriguru Tanzania · ⭐ 0.0 (0)