Drip Irrigation Tape
TZS 150,000
Hutumika kusambaza maji kidogo kidogo moja kwa moja kwenye mizizi ya mimea pia kwenye kilimo cha mboga mboga kama nyanya, vitunguu, pili pili na tikiti kwa mfumo wa matone kwa umwagiliaji wa mimea kwa ufanisi na kuokoa maji.
Kilimo · new · Dar es Salaam / kinondoni /
Muuzaji: Irriguru Tanzania · ⭐ 0.0 (0)