SokoMax - Nunua. Uuza. Rahisi.
← Rudi Mwanzo

Nozzle Impact Sprinkler

TZS 120,000

Hii sprinkler ina uwezo wa kurusha maji kwa umbali mrefu na inafaa kwa kilimo cha umwagiliaji wa kisasa kwa sababu ni nzuri kwa kusambaza maji kwa mzunguko wa 360 au 180, kunyunyizia maji kwa umbali mrefu, kudhibiti mwelekeo wa maji kwenye mifumo ya umwagiliaji, kufanya kazi kwenye pressure kubwa na kutoa maji kwa usawa katika kilimo, mifugo, viwanja na bustani za kisasa.

Kilimo · new · Dar es Salaam / kinondoni /

Muuzaji: Irriguru Tanzania · ⭐ 0.0 (0)

👁 10 views

Ratings & Reviews

← Rudi Mwanzo