SokoMax - Nunua. Uuza. Rahisi.
← Rudi Mwanzo

Flexible Membrane Liners

TZS 13,500

Dam liners zinapatikana kwa size zote zinatofautiana katika thickness ambapo kuna 1mm, 1.5mm na 0.75mm ni nzuri kwa kuzuia upotevu wa maji mengi aridhini katika kilimo, ufugaji wa samaki, mifugo, ujenzi na miradi pamoja na matumizi ya nyumbani kama swimming ponds na kuhifadhi maji ya matumizi ya kawaida na water garden.

Kilimo · new · Dar es Salaam / kinondoni /

Muuzaji: Irriguru Tanzania · ⭐ 0.0 (0)

👁 7 views

Ratings & Reviews

← Rudi Mwanzo