SokoMax - Nunua. Uuza. Rahisi.
← Rudi Mwanzo

32 Mm Rain Hoses

TZS 35,000

Zinafaa zaidi katika umwagiliaji wa vitunguu, matikiti, strawberry pamoja bilinganya zenye urefu wa Mita 100 na zinatofautiana size Kuna Inche moja, moja na robo mpaka Inche mbili.

Kilimo · new · Dar es Salaam / kinondoni /

Muuzaji: Irriguru Tanzania · ⭐ 0.0 (0)

👁 9 views

Ratings & Reviews

← Rudi Mwanzo