SokoMax - Nunua. Uuza. Rahisi.
← Rudi Mwanzo

Micro-Sprinkler Hose

TZS 45,000

Ni nzuri kwa umwagiliaji wa mazao,usambazaji sawa wa maji,kuokoa maji,kulinda udongo,rahisi kufunga na kutumia,hupunguza gharama za kazi katika umwagiliaji na inafaa kwa maeneo mengi katika bustani za nyumbani,vitalu vya miche, greenhouse na mashamba ya wazi.Hizi zina Inche tofauti tofauti kulingana na size zake Kuna Inche moja mpaka Inche mbili na hapa Kuna bei ya Inche moja na nusu

Kilimo · new · Dar es Salaam / kinondoni /

Muuzaji: Irriguru Tanzania · ⭐ 0.0 (0)

👁 10 views

Ratings & Reviews

← Rudi Mwanzo