SokoMax - Nunua. Uuza. Rahisi.
← Rudi Mwanzo

Plastic Mulch Sheet

TZS 150,000

Kazi yake ni kuzuia magugu kuota, kuhifadhi unyevu wa udongo,kudhibiti joto la udongo,kuzuia matunda kugusa udongo na kupunguza wadudu.Pia huwa na upana wa Mita moja hadi moja na nusu,urefu Mita 400 hadi 1000 kwa Rolla moja na unene wa micron 20-40.

Kilimo · new · Dar es Salaam / kinondoni /

Muuzaji: Irriguru Tanzania · ⭐ 0.0 (0)

👁 10 views

Ratings & Reviews

← Rudi Mwanzo