SokoMax - Nunua. Uuza. Rahisi.
← Rudi Mwanzo

Plastic Liners Sheet

TZS 13,500

Kuzuia maji yasipotee ardhini,kuhifadhi maji kwa muda mrefu,kulinda udongo usichanganyike na maji,kupunguza upotevu wa maji na kusaidia kudhibiti maji kwenye mashamba,Mara yingi hutumika katika kilimo, ufugaji wa samaki, mifugo, nyumbani kwenye water garden, swimming ponds na kuhifadhi maji ya matumizi ya nyumbani kawaida.

Kilimo · new · Dar es Salaam / kinondoni /

Muuzaji: Irriguru Tanzania · ⭐ 0.0 (0)

👁 10 views

Ratings & Reviews

← Rudi Mwanzo