SokoMax - Nunua. Uuza. Rahisi.
← Rudi Mwanzo

Three Arm Sprinkler

TZS 7,000

Ni nzuri katika umwagiliaji zinamwaga maji katika bustani, mashamba madogo madogo pamoja na kurusha maji kwenye viwanja ili kupunguza vumbi ni nzuri kwa sababu zimetengenezwa kwa muundo wakuzunguka pande zote,ni bei rahisi na nzuri sana wakati wa utumiaji kwa sababu ni rahisi hata kubeba

Kilimo · new · Dar es Salaam / kinondoni /

Muuzaji: Irriguru Tanzania · ⭐ 0.0 (0)

👁 11 views

Ratings & Reviews

← Rudi Mwanzo