SokoMax - Nunua. Uuza. Rahisi.
← Rudi Mwanzo

Irrigation Water Dripping

TZS 150,000

Hutumika kusafirisha moja kwa moja hadi kwenye mizizi ya mimea,kutoa maji kwa matone badala ya kumwaga maji mengi kwa wakati mmoja pia zinapatikana kwa urefu wa Mita 1000 na Mita 2000 kwa 10cm, 15cm, 20cm, 30cm na 60cm.

Kilimo · new · Dar es Salaam / kinondoni /

Muuzaji: Irriguru Tanzania · ⭐ 0.0 (0)

👁 8 views

Ratings & Reviews

← Rudi Mwanzo