U Shaped Neck Massager
TZS 60,000
U shaped neck massager Hii ni massager ya shingo inayosaidia kupunguza maumivu na kukaza kwa misuli ya shingo Faida za neck massager Inasaidia kupunguza maumivu ya shingo yanayotokana na kukaa kwa kufa mrefu Inasaidia kulegeza misuli iliyokaza Inasaidia kuongeza mzunguko wa damu kwenye eneo la shingo Inasaidia kupunguza uchovu wa siku nzima Inaweza kupinguza maumivu ya kichwa yanayotokanana misuli ya shingo Ina viwango tofauti tofauti vya massage Jinsi ya kutumia Vaa kifaa shingoni Washa na chagua kiwango cha massager kinachokufaa
Health (Afya) · new · Dar es Salaam / kinondoni /
Muuzaji: Joane Rwegerera · ⭐ 0.0 (0)