Folic Acid
TZS 30,000
Folic acid tablet Bei:30000 Kopo linakuwa na supplement 100 Folic acid inapatikana kwenye broccoli,cabbage,kiini cha yai pamoja na machungwa Folic acid ni supplement ambayo ni muhimu sana kwa wanawake esp wajawazito na wanaotegemea kupata ujauzito Hizi ndio faida za folic acid Zinasaidia kuongeza damu Zinasaidia mtoto azaliwe akiwaa hana shida yoyote Zinasaidia kuzuia misscarriage zinasaidia mwanamke kubeba ujauzito kwa haraka zinaongeza kinga ya mwili zinasaidia mwili kujenga cell mpya Zinasaidia kuzuia magonjwa ya moyo zinasaidia kuongeza kumbukumbu zinasaidia kwenye afya ya ngozi pamoja na nywele Mutumizi yake unatumia supplement mbili kwa siku Call/whatsapp:/ Location:sinza kumekucha near fine travellers
Health (Afya) · new · Dar es Salaam / kinondoni /
Muuzaji: Joane Rwegerera · ⭐ 0.0 (0)