Scar Gel Product
TZS 15,000
Cream kwa ajili ya kuondoa makovu ipo dukani Inasaidia; kuondoa makovu ambayo tayari yameshakuwepo Inasaidia kutokupata kovu kwahiyo kama umeumia na tayari kidonda kimepona ni vizuri kutumia hii cream Inasaidia cell kuzaliana kwa wingi ambayo uondoa makovu Ni natural ingredients kwahiyo haiwashi kwenye ngozi Jinsi ya kutumia Unatakiwa kutumia baada ya kuoga asubuhi na jioni
Health (Afya) · new · Dar es Salaam / kinondoni /
Muuzaji: Joane Rwegerera · ⭐ 0.0 (0)