Minoxidil Solution
TZS 35,000
Hii dawa unapaka kwenye ngozi ya kichwa au sehemu yenye nywele inayochochea ukuaji wa nywele Kazi kaze; Inasaidia kuchochea ukuaji wa nywele mpya Inasaidia kuzuia nywele kukatika Kuongeza unene kwa nywele nyembamba Kusaidia kujaza maeneo yenye nywele chache Kuboresha mzunguko wa damu kwenye ngozi ya kichwa Kusaidia nywele kuwa na unyenyevu Ina ujazo wa ml 60 Matumizi yake Unatumia mara mbili wa siku
Health (Afya) · new · Dar es Salaam / kinondoni /
Muuzaji: Joane Rwegerera · ⭐ 0.0 (0)