SokoMax - Nunua. Uuza. Rahisi.
← Rudi Mwanzo

Ems Foot Massager

TZS 25,000

Ems Foot Massager Ni kifaa kinachotoa msisimko wa umeme mdogo kwenye misuli ya miguu ili kuchochea mzunguko wa mzuri wa damu Kazi zake Upunguza maumivu ya miguu hasa kwa wanaosimaa muda mrefu au wenye maumivu ya kisigino Kuongeza mzunguko mzuri wa damu Kulekebisha misuli iliyokaza Kusaidia kwa wale wanaopanda ganzi kutokana na mzunguko wa damu kuwa mdogo Matumizi yake Unaweza miguu kwenye kifaa kwa muda wa dakika 15

Health (Afya) · new · Dar es Salaam / kinondoni /

Muuzaji: Joane Rwegerera · ⭐ 0.0 (0)

👁 10 views

Ratings & Reviews

← Rudi Mwanzo