Anti Wrinkle Cream
TZS 10,000
Anti-wrinkle cream Hii ni cream kwa ajili ya kuondoa makunyanzi usoni Imetengenezwa na ingredient natural kabisa zisizo haribu ngozi Kazi zake; Kuondoa mikunjo na mistari midogo midogo usoni Inasaidia kuifadhi maji kwenye ngozi na kufanya ionekane yenye afya na changa Huchochea uzalishaji wa collagen hivyo ngozi inakuwa imara na haizeeki kirahisi Inasaidia kuipa ngozi rangi nzuri kuifanya i glow na kuondoa madoa ya uzee Matumizi yake Unapaka usoni kutwa mara mbili
Health (Afya) · new · Dar es Salaam / kinondoni /
Muuzaji: Joane Rwegerera · ⭐ 0.0 (0)