Ganoderma Tea
TZS 25,000
Ganoderma(lucidum tea) Hii ni chai ya asili ambayo imetumika kwa maelfu ya miaka kwa ajili ya kinga ya mwili,moyo,ini na afya ya mwili kwa ujumla Kazi zake kubwa; Inasaidia kuimarisha kinga ya mwili hivyo kufanya mwili kupambana na maambukizi na magonjwa Inasaidia kupunguza stress na kuufanya mwili uwe utulivu hivyo kupata usingizi mzuri Inasaidia kuondoa sumu mwilini na kulinda seli za ini dhidi za uharibifu Inasaidia kuboresha mzunguko wa damu na kuondoa mafuta mabaya kwenye damu Inasaidia kudhibiti kiwango cha sukari kwenye damu Inasaidia mwili kutumia oxygen vizuri hivyo kuongeza nguvu mwili pamoja na kuondoa uchovu Box moja lina tea bags 20 Matumizi yake Unatumia tea bag mbili kwa siku
Health (Afya) · new · Dar es Salaam / kinondoni /
Muuzaji: Joane Rwegerera · ⭐ 0.0 (0)