SokoMax - Nunua. Uuza. Rahisi.
← Rudi Mwanzo

Colon Cleanser Tea

TZS 20,000

Hizi ndio kazi zake kubwa Inasaidia kuondoa uchafu tumboni kuondoa changamoto ya kutokupata choo Inasaidia kuondoa gesi tumboni Inasaidia ukuaji wa bacteria wazuri tumboni hivyo kuboresha usagaji wa chakula Kukufanya ujisikie mwepesi tumboni Box linakuwa na tea bags 20 Matumizi yake Unatumia tea bag mbili kwa siku

Health (Afya) · new · Dar es Salaam / kinondoni /

Muuzaji: Joane Rwegerera · ⭐ 0.0 (0)

👁 10 views

Ratings & Reviews

← Rudi Mwanzo