Evening Primrose Oil
TZS 30,000
Evening primrose oil Haya ni mafuta yanayotengenezwa kutoka kwenye mbegu za mmea unaoitwa evening primrose Zifuatazo ni faida za evening primrose oil; Husaidia kupunguza madoa kwenye ngozi Hisaidia kufanya ngozi iwe na unyevunyevu Huzuia changamoto ya eczema pamoja na psoriasis(pumu ya ngozi) Husaidia kuweka hormone sawa Husaidia kupunguza dalili za kukoma kwa hedhi Husaidia kupunguza cholesterol Husaidia kupunguza maumivu ya viungo Husaidia nywele na kucha kuwa imara Kopo moja linakuwa na vidonge 100 Matumizi yake Unatumia supplement moja kwa siku
Health (Afya) · new · Dar es Salaam / kinondoni /
Muuzaji: Joane Rwegerera · ⭐ 0.0 (0)