SokoMax - Nunua. Uuza. Rahisi.
← Rudi Mwanzo

Liver Detox Support Capsule

TZS 30,000

Liver support capsule Hivi ni vidonge ambavyo hutumika kama kirutubisho cha afya ya ini Hizi ndio kazi zake zaidi; Kulinda na kutibu ini Zinasaidia kurekebisha cell za ini zilizoharibika,hutumika kwa watu wenye fatty liver,hepatitis au walioathiriwa na pombe Husaidia kuchuja na kuondoa sumu kwenye damu Hupambana na free radical zinazoharibu cell za mwili Husaidia kudhibiti sukari kwa wagonjwa wa kisukari aina ya pili Kusaidia kupunguza mafuta kwenye ini Husaidia kuondoa gesi tumboni Husaidia watu wenye non-alcoholic fatty liver diseases Kopo moja lina supplement 60 Matumizi yake Unatumia supplement mbili kwa siku

Health (Afya) · new · Dar es Salaam / kinondoni /

Muuzaji: Joane Rwegerera · ⭐ 0.0 (0)

👁 9 views

Ratings & Reviews

← Rudi Mwanzo