Anti Melasma Capsule
TZS 30,000
Anti melasma capsule Hizi ni supplement kwa ajili ya kuondoa melasma na hyperpigmentation Kazi zake; Inasaidia kupunguza uzalishaji wa melanini kwenye ngozi ambayo ndio husababisha madoa Inasaidia kuweka hormone sawa Inasaidia ngozi kutengeneza cell mpya kwa haraka Inasaidia ngozi kukabiliana na uharibifu wa cell kutokana na miale ya jua Kwa kudhibiti melanini husaidia ngozi kupunguza madoa kwa haraka Kopo moja lina supplement 60 Matumizi yake; Unatumia supplement mbili kwa siku
Health (Afya) · new · Dar es Salaam / kinondoni /
Muuzaji: Joane Rwegerera · ⭐ 0.0 (0)