Eye Vitamin Capsule
TZS 30,000
Eye vitamins capsule Hivi ni virutubisho vinavyosaidia kulinda na kuboresha afya ya macho Hizi sio dawa na kuponya moja kwa moja bali zinasaidia macho kufanya kazi vizuri Kazi kubwa ya eye vitamin capsules Kusaidia macho kuona vizuri hasa wakati wa usiku Kulinda macho dhidi ya uharibifu wa seli Kulinda letina na macula kusaidia kuona vizuri rangi Kupunguza matatizo ya macho kama macho makavu, pamoja na uchovu wa macho Kuboresha mvunguko wa damu kwenye macho Kopo koja lina capsule 60 Matumizi yake Unatumia capsule 2 kwa siku
Health (Afya) · new · Dar es Salaam / kinondoni /
Muuzaji: Joane Rwegerera · ⭐ 0.0 (0)