SokoMax - Nunua. Uuza. Rahisi.
← Rudi Mwanzo

Joint Support Tablet

TZS 35,000

Joint support Ina virutubisho muhimu sana kwa ajili ya afya ya viungo na mifupa Inasaidia sana kwa watu wenye changamoto zifuatazo; Maumivu ya viungo Maumivu ya magoti Arthritis Kukamaa kwa viungo Uchovu wa viungo baada ya mazoezi Kazi zake ni; Husaidia kuondoa maumivu kwenye magoti,mabega,mgongo au vifundo hasa kwa watu wenye matatizo ya viungo Inasaidia kutengeneza uroto wa viungo ili viungo visisuguane Hufanya viungo kuwa rahisi kupinga na kusogea bila maumivu au kukakamaa Inasaidia kupunguza uvimbe kwenye viungo Hutumika sana kwa watu wenye arthritis au wanaotaka kulinda afya ya viungo wanapozeeka Kopo moja lina supplement 120 Matumizi yake Unatumia supplement mbili kwa siku

Health (Afya) · new · Dar es Salaam / kinondoni /

Muuzaji: Joane Rwegerera · ⭐ 0.0 (0)

👁 10 views

Ratings & Reviews

← Rudi Mwanzo