Glowing Gummies
TZS 30,000
Glowing gummies Hizi gummie ni muhimu kwa ajili ya kuongeza mng’ao,unyevunyevu pamoja na kuipa ngozi afya Moja ya ingredient mama kwenye hizi gummies ni biotin,keratin pamoja na vitamin c Kazi yake; Inasaidia kuongeza mng’ao kwenye kwa kusaidia uzalishaji wa seli mpya kwenye ngozi Inasaidia kuzuia ngozi kuwa kavu pamoja na kukauka Inasaidia kuondoa chunusi pamoja na vipele vidogo vidogo Inasaidia kuchochea uzalishaji wa collagen hivyo kuzuia ngozi kuzeeka Inasaidia kuondoa mabaka mekundu,ukavu na miwasho kwenye ngozi Kopo moja lina supplement 60 Matumizi yake Unatumia supplement 2 kwa siku
Health (Afya) · new · Dar es Salaam / kinondoni /
Muuzaji: Joane Rwegerera · ⭐ 0.0 (0)