SokoMax - Nunua. Uuza. Rahisi.
← Rudi Mwanzo

Seamoss Gummies

TZS 30,000

Seamoss gummies Hizi ni gummies ambazo zimetengenezwa na mwani Zifuatazo ni faida zake; Zinasaidia kuongeza kinga ya mwili Zinasaidia katika utengenezaji wa hormone za thyroid Zinasaidia uzalishaji wa nishati mwilini na kupunguza uchovu Zinasaidia kuondoa sumu pamoja na kupunguza uzito Ni nzuri katika afya ya ngozi pamoja na nywele Zinasaidia mmeng’enyo wa chakula ufanyike vizuri Seamoss inasaidia kuongeza madini mengi mwilini na kufanya mwili ufanye kazi zake kwa ufasaha zaidi kopo moja lina supplement 60 Matumizi yake Unatumia supplement 2 kwa siku

Health (Afya) · new · Dar es Salaam / kinondoni /

Muuzaji: Joane Rwegerera · ⭐ 0.0 (0)

👁 11 views

Ratings & Reviews

← Rudi Mwanzo