SokoMax - Nunua. Uuza. Rahisi.
← Rudi Mwanzo

Alpa Brain Capsule

TZS 35,000

Alpha Brain Capsule Bei:30000 Hizi supplement ni nzuri kwa ajili ya afya ya ubongo zinasaidia kuongeza umakini pamoja na kumbukumbu Kazi zake; Inasaidia kuongeza umakini na focus wakati wa kazi au masomo Insaidia kuboresha kumbukumbu na uwezo wa kukumbuka vitu kwa haraka Inasaidia akili kuchakata vitu kwa ufanisi zaidi Inasaidia kuongeza concentration kwa muda mrefu bila kuchoka haraka Inasaidia kuongeza productivity katika shughuli za kila siku Kusaidia ubongo kufanya kazi vizuri wakati wa stress na uchovu Kopo moja lina supplement 60 Matumizi yake Unatumia supplement 2 kwa siku

Health (Afya) · new · Dar es Salaam / KINONDONI /

Muuzaji: Joane Rwegerera · ⭐ 0.0 (0)

👁 11 views

Ratings & Reviews

← Rudi Mwanzo