Hangover Drink
TZS 20,000
Hangover patch Hizi ni patch ambazo ubadikwa kwenye ngozi kwa ajili ya mwili ku recover baada ya kunywa pombe Sifa zake Ni rahisi kutumia Hazina mdhara Zimetengenezwa na natural ingredient Kazi yake; Husaidia kuongeza vitamiv b complex pamoja na vitamin c ambazo hupotea baada ya kunywa pombe Husaidia ini kusafisha sumu Husaidia kupunguza uchovu na kizunguzungu kinachosababishwa na hangover Husaidia kudhibiti upungufu wa maji unaotokea baada ya kunywa pombe Husaidia kupunguza dalili za kichwa kuuma,kichefuchefu na mwili kuchoka Box moja linakuwa na patch 60 Matumizi yake Unatakiwa kubandika begani au mkononi Unatakiwa kubandika mara tu unapomaliza kunywa pombe na unaaka nayi masaa 8
Health (Afya) · new · Dar es Salaam / kinondoni /
Muuzaji: Joane Rwegerera · ⭐ 0.0 (0)