SokoMax - Nunua. Uuza. Rahisi.
← Rudi Mwanzo

Slim Plus Fat Burner

TZS 25,000

Slim fat burner with collagen peptides Hii supplement inasaidia kupunguza uzito pamoja na kurutubisha ngozi Hizi ndio kazi zake Inasaidia kuunguza mafuta mwilini Inasaidia kupunguza njaa pamoja na hamu ya kula vyakula vya sukari Inasaidia mwili kutumia vizuri virutubisho hivyo kuboresha afya Inasaidia kupunguza cholesterol Inasaidia ku imarisha nywele pamoja na kucha Inasaidia kupunguza maumivu ya viungo Inasaidia kuongeza unyevunyevu pamoja na kupunguza dalili ya uzee Kopo moja linakuwa na supplement 60 Matumizi yake unatumia supplement mbili kwa siku

Health (Afya) · new · Dar es Salaam / kinondoni /

Muuzaji: Joane Rwegerera · ⭐ 0.0 (0)

👁 11 views

Ratings & Reviews

← Rudi Mwanzo