SokoMax - Nunua. Uuza. Rahisi.
← Rudi Mwanzo

Active Slim Weight

TZS 50,000

Active slim weight loss Hii moja ya product ya kupungua uzito ambayo inafanya vizuri sana ambayo hutumiwa sana Germany Inafanya kazi zifuatazo; Husaidia mwili kutumia mafuta ya ziada mwilini hivyo kuondoa uzito/unene Husaidia kupunguza hamu ya kula pamoja na kuzuia hamu ya kula vyakula vya sukari Husaidia kuondoa cholesterol kwenye mishipa ya damu Huongeza ufanisi wa insulini na kusaidia kusawaazisha kiwango cha sukari kwenye damu Husaidia mwili kutumia protein vizuri Box moja lina vidonge 30 Matumizi yake Unatumia kidonge kimoja kwa siku unatakiwa kutumia nusu saa kabla ya kunywa chai

Health (Afya) · new · Dar es Salaam / kinondoni /

Muuzaji: Joane Rwegerera · ⭐ 0.0 (0)

👁 10 views

Ratings & Reviews

← Rudi Mwanzo