Acne Treatment Capsule
TZS 25,000
Ance treatment capsule Imetengenezwa za ingrention 13 ambazo zinasaidia sana kuondoa chunusi Hizi ndio kazi yake kubwa; Inasaidia kupunguza uvimbe wa chunusi Inasaidia kuondoa rashes na wekundu usoni Inasaidia kuondoa bacteria wanaosababisha chunusi Inasaidia kuondoa mafuta mengi kwenye ngozi Inasaidia kutoa unyevu nyevu kwenye ngozi bila kuifanya iwe na mafuta sana Inasaidia kuondoa madoa ya chunusi na hyperpigmentation Kopo moja lina supplement 60 Matumizi yake Unatumia supplement mbili kwa siku
Health (Afya) · new · Dar es Salaam / kinondoni /
Muuzaji: Joane Rwegerera · ⭐ 0.0 (0)