Mass Gainer
TZS 60,000
Mass gainer ni product nzuri sana kwa ajili ya ku gain mwilii pamoja na muscles hizi zinatumiwa na wanaume pamoja na wanawake Kama unaitumia kwa ajili ya ku gain mwili sio lazima kufanya mazoezi Hizi ndio kazi yake kubwa Inasaidia kuongeza muscles Inasaidia kuongeza calories pamoja na kuongeza nguvu mwilini Zinaupa mwili nutrient na mineral kama calcium na sodium Kwa wale wanaofanya mazoezi inafanya usichoke haraka Inaujazo kilo moja Jinsi ya kutumia Unatumia vijiko nne vya chai approximate to 30 unachanganya kwenye kimiminika chochote mls 200 Bei:60000 Call/whatsapp:/ Location:sinza kumekucha near fine travellers hotel
Health (Afya) · new · Dar es Salaam / kinondoni /
Muuzaji: Joane Rwegerera · ⭐ 0.0 (0)