SokoMax - Nunua. Uuza. Rahisi.
← Rudi Mwanzo

Slim Green Coffee Tea

TZS 25,000

Hii Slim green coffee ni nzuri sana kwenye kupunguza uzito Kwanza kabisa inasaidia sana kupunguza appetite ya kula sasa ukipunguza kula kula hii inasaidia sana upungue uzito kirahisi Ina increase metabolish yaan uyeyushaji wa mafuta mwilini ambapo hii hali pia itakusaidia kupungua Ina saidia sana kuondoa cholesterol haya ni mafuta ambayo yanazunguka mishipa ya damu na sio mazuri kabisa ki afya Kwa wale wenye changamoto ya kupata choo kigumu,wenye bawasili wakijisaidia choo kigumu wanaumia hii chai ni nzuri sana kwenye ku lainisha choo Last but not least inasaidia sana kuondoa sumu mwilini kama umetumia madawa,sigara na pombe kwa muda mrefu unahitaji kuondoa sumu mwilini tumia hii chai

Health (Afya) · new · Dar es Salaam / kinondoni /

Muuzaji: Joane Rwegerera · ⭐ 0.0 (0)

👁 9 views

Ratings & Reviews

← Rudi Mwanzo