SokoMax - Nunua. Uuza. Rahisi.
← Rudi Mwanzo

Spirulina Tablet

TZS 45,000

Spirulina tablet Spirulina ni aina ya mmea ambao unaota kwenye maji ya chumvi au maji baridi mmea huu umejawa na virutubisho vya kutosha vinavyosaidia vitu mbalimbali mwilini Vifuatavyo ni virutubisho vinavyopatikana kwenye spirulina; Protein nyingi(Ina asilimia 60-70 ya protein safi) Iron,Calcium,Magnesium, Potasium Chlorophyll(inasafisha damu) Vitamin A,B1,B2,B3,B6,B12 E &K Kazi ya spirulina; Kuimarisha kinga ya mwili Kupunguza cholesterol Kuongeza afya ya ngozi na nywele Inasaidia kuondoa sumu mwilini Kuboresha afya ya ngozi na nywele Kusaidia watu wenye upungufu wa damu Kuboresha mmeng’enyo wa chakula Pakti moja lina supplement 720 Matumizi yake Unatumia supplement sita kwa siku Location:sinza kumekucha near fine travellers hotel

Health (Afya) · new · Dar es Salaam / kinondoni /

Muuzaji: Joane Rwegerera · ⭐ 0.0 (0)

👁 11 views

Ratings & Reviews

← Rudi Mwanzo