Anti Smoking Patch
TZS 15,000
Anti smoking patch Hizi patch zinasaidia sana kukufanya huache kuvuta sigara kama una urahibu huo Kazi yake kubwa ni kuondoa sumu ya nicotine mwilini na kukufanya husiwe na craving za sigara na kuacha kabisa kutumia sigara Pack moja inakuwa na pcs 10 Matumizi yake Unabandika patch moja juu ya bega kila siku unakaa nayo masaa 12 Call/whatsapp:/ Location:sinza kumekucha near fine travelers hotel
Health (Afya) · new · Dar es Salaam / kinondoni /
Muuzaji: Joane Rwegerera · ⭐ 0.0 (0)