SokoMax - Nunua. Uuza. Rahisi.
← Rudi Mwanzo

Women Probiotic

TZS 30,000

Women Probiotic hizi ni supplement ambazo husaidia ukuaji wa bacteria wazuri mwilini especially ukeni Husaidia bacteria wazuri wanaolinda uke kuwa katika kiwango kinachotakiwa Husaidia kuzuia Uti za kujirudia rudia Husaidia kuondoa harufu mbaya ukeni Husaidia kubala ph ya uke Husaidia kutibu fangasi ukeni Husaidia kufanya mfumo wa chakula kufanya kazi vizuri Huongeza kinga ya mwili Note;Kama una changamoto za infection za ukeni za kujirudia rudia hizi supplement sio za kukosa kabisa Zinakuwa supplement 60 Matumizi yake: Unatakiwa kunywa supplement mbili kila siku Bei:30000 Call/whatsapp:/ Location:sinza kumekucha boss near fine travellers hotel

Vipodozi · new · Dar es Salaam / kinondoni /

Muuzaji: Joane Rwegerera · ⭐ 0.0 (0)

👁 9 views

Ratings & Reviews

← Rudi Mwanzo