SokoMax - Nunua. Uuza. Rahisi.
← Rudi Mwanzo

Flat Tummy Tea

TZS 20,000

Flat tummy tea Hii ni chai nzuri sana kwa ajili ya kupunguza tumbo Inakazi zifuatazo Kuondoa tumbo Kuondoa nyama zembe za tumbo Kupunguza hamu ya kula Kuongeza metabolisms Kuondoa gesi tumboni Inakuwa na tea bag 28 Matumizi yake Unatumia tea bag moja kila siku

Vipodozi · new · Dar es Salaam / kinondoni /

Muuzaji: Joane Rwegerera · ⭐ 0.0 (0)

👁 8 views

Ratings & Reviews

← Rudi Mwanzo