SokoMax - Nunua. Uuza. Rahisi.
← Rudi Mwanzo

Karanga Nyeupe (White Peanuts)

TZS 3,500

JIPATIE KARANGA NYEUFE (WHITE PEANUTS) Ladha Halisi, Lishe Bora, Ubora Unaotegemewa! Tu nakuletea Karanga Nyeupe safi na bora, zilizochaguliwa kwa umakini kutoka mashamba bora ya Tanzania. Ni nafaka kamili yenye ladha ya kipekee, yenye virutubisho vya protini, mafuta mazuri na madini muhimu, inafaa kwa matumizi ya nyumbani, biashara na viwanda. Sifa za Bidhaa Product Name: White Peanuts Moisture Content: 8% Max Purity: ≥ 99% Broken Kernels: ≤ 2% Foreign Matter: ≤ 0.5% Aflatoxin: ≤ 10ppb Inapatikana kwa 50kg au 100kg bags Faida za Kutumia Karanga Nyeupe Chanzo kizuri cha protini na mafuta mazuri kwa afya Zinafaa kwa kutengeneza siagi ya karanga, vitafunwa na vyakula vya nyumbani Ubora unaodumu muda mrefu bila kupoteza ladha Zinakidhi viwango vya soko la ndani na la kimataifa Wasiliana Nasi leo +

Kilimo · new · Dar es Salaam / kinondoni /

Muuzaji: BAZED GROUP CO LTD · ⭐ 0.0 (0)

👁 20 views

Ratings & Reviews

← Rudi Mwanzo