SokoMax - Nunua. Uuza. Rahisi.
← Rudi Mwanzo

Karafuu (Cloves)

TZS 20,000

JIPATIE KARAFUU SAFI ZA UBORA WA JUU Bidhaa: Karafuu Asilia kutoka Tanzania Ubora: Daraja la Kwanza (Grade 1) Maelezo ya Bidhaa Karafuu zetu ni halisi, zimekaushwa vizuri ili kuhifadhi harufu na ladha yake asilia. Zina rangi ya kahawia nyeusi, harufu kali na tamu inayothibitisha ubora wake. Matumizi Viungo kwenye pilau, chai, nyama na mikate Matibabu ya asili – kutuliza maumivu ya meno na koo Uzalishaji wa mafuta ya karafuu, manukato, na dawa za meno Faida za Biashara Ubora unaokubalika kimataifa Upatikanaji wa wingi kwa bei shindani Ina muda mrefu wa kuhifadhi bila kuharibika Tupigie + ili uweze kupata.

Kilimo · new · Dar es Salaam / kinondoni /

Muuzaji: BAZED GROUP CO LTD · ⭐ 0.0 (0)

👁 17 views

Ratings & Reviews

← Rudi Mwanzo