SokoMax - Nunua. Uuza. Rahisi.
← Rudi Mwanzo

Mahindi Ya Njano Ya Bisi (Pop Corns)

TZS 3,900

Jipatie Mahindi ya Bisi (Popcorn) – Ubora wa Juu! Tunauza Mahindi ya Bisi yenye ubora wa hali ya juu kwa bei nafuu ! Yanachanua vizuri Yana ladha tamu ya asili Yanafaa kwa biashara na matumizi ya nyumbani TunapatikanaMbeziBeach Jogoo Dar es salama Tanzania . Tupigie + ili uweze kupata.

Kilimo · new · Dar es Salaam / kinondoni /

Muuzaji: BAZED GROUP CO LTD · ⭐ 0.0 (0)

👁 17 views

Ratings & Reviews

← Rudi Mwanzo