SokoMax - Nunua. Uuza. Rahisi.
← Rudi Mwanzo

Gorofa Inauzwa Kariakoo.!!

TZS 2,500,000,000

Ghorofa lina uzwa location:kaliakoo mtaa wa kiungani street kuna vyumba 10 floor no 1 floor no 2 ina vyumba 10 ground floor ina flem 10 mbele zipo flem 3 nyuma zipo flem 7 na kuna godown 1 eneo lite lina sqm 290 bei ni bilion 2.5 maongezi kidogo sana mtaa mzur sana kwa biashara yeyote ile unafanya eneo lina hati safi toka wizara ya aridhi

Viwanja · new · Dar es Salaam / ilala /

Muuzaji: Dalali Michael · ⭐ 0.0 (0)

👁 11 views

Ratings & Reviews

← Rudi Mwanzo